Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond sasa amuita Zuchu 'mke'

Mondi Na Zuchuuu Diamond sasa amuita Zuchu 'mke'

Fri, 25 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama ulikuwa bado huaminiamini kama staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amezama kwenye penzi zito na msanii wake Zuhura Othman 'Zuchu' basi sasa ondoa mashaka, Diamond anamuta mrembo huyo mke.

Diamond ameyasema hayo usiku wa kuamkia Novemba 25, 2022 alipokuwa akitambulisha moja ya ngoma zinazopatikana kwenye albamu ya Juma Jux.

"Nakwenda kuitambulisha nyimbo hii mpya ya Jux amemshirikisha mke wangu inaitwa Nidhibiti," alisema Diamond.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live