Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond ni Supastaa Nigeria - Jay Willz

Tiffah Ndio Kila Kwangu, Nampenda Sana   Diamond.png Diamond Platnumz

Sat, 4 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Nigeria Jay Willz ameiambia show ya 'Friday Night Live' ya East Africa TV na East Africa Radio kuwa Diamond Platnumz ni Super star nchini kwao akifuatiwa na Harmonize na Zuchu.

Jay Willz na Diamond Platnumz tayari washafanya ngoma ya pamoja ya Melody.

Tazama hapa kwenye video msanii huyo wa Nigeria akizungumzia ukubwa wa Diamond Platnumz, Harmonize na Zuchu nchini kwao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live