Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond ndio mwanaume wa kwanza kwa Zuchu- Masha Love

Diamond Ndio Mwanaume Wa Kwanza Kwa Zuchu  Masha Love Diamond ndio mwanaume wa kwanza kwa Zuchu- Masha Love

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa @mashalovietz anasema @diamondplatnumz ndio mwanaume wa kwanza kwa @officialzuchu na ndio maana inakuwa ndumu sana kwa #Zuchu kumuacha mwanaume huyo.

Kwa mujibu wa @mashalovietz anasema @diamondplatnumz ndio mwanaume wa kwanza kwa @officialzuchu na ndio maana inakuwa ndumu sana kwa #Zuchu kumuacha mwanaume huyo. Masha anasema alipoona #Zuchu ameandika ujumbe wa kumuacha #Diamond aliumia sana hali iliyompelekea kuto kula kwa siku 2 mpaka kupelekwa Hospital kwaajili ya vidonda vya tumbo lakini anashukuru Mungu baada ya wapenzi hao kurudiana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live