Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond na Zuchu kuwania tuzo za Trace

Diamond Amtupa Zuchu Chini Ya Basi Na Kumsifia Spice Diana Diamond na Zuchu kuwania tuzo za Trace

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasanii @diamondplatnumz na @officialzuchu wametajwa kuwania tuzo za Trace @traceawardsandfestival zinazotarajiwa kufanyika 'Oktoba 21, 2023' Kigali nchini Rwanda huku wawili hao wakiwa wanachuana katika kipengele kimoja.

@diamondplatnumz na @officialzuchu wanachuana kupitia kipengele cha 'Best Eastern African Artist of the Year' huku wakichuana na wasanii wengine mbao ni Azawi @azawiofficial kutoka Uganda, Nadia Mukami @nadia_mukami kutoka Kenya , Bruce Melodie @brucemelodie kutoka Rwanda na Khaligraph Jones @khaligraph_jones kutoka Kenya.

Jinsi ya kuwapigia Kura Diamond Na Zuchu nenda kwenye Bio ya @traceawardsandfestival ili ushindi tuurudishe nyumbani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live