Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond na Zuchu hawakupewa Taarifa na Basata

Diamond Zuchu Mtasubiri Na Basata Diamond na Zuchu

Tue, 10 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufungiwa kwa video ya Wimbo wa Mtasubiri wa Diamond Platnumz aliomshirikisha msanii wake, Zuchu kwenye Mtandao wa YouTube kumeendelea kuzua gumzo.

Hii ni baada ya Zuchu kubainisha kuwa, hawakupewa taarifa na Baraza la Sanaa la Taifa kuhusu ukakasi kwenye video hiyo, badala yake walishangaa tu kusikia imefungua.

Hata hivyo, bado video hiyo inaendelea kupepea hewani kwenye YouTube na mitandao mingine yote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live