Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond na Sallam waonekana pamoja baada ya sintofahamu

Diamond Na Sallam Waonekana Pamoja Baada Ya Sintofahamu Diamond na Sallam waonekana pamoja baada ya sintofahamu

Tue, 26 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Diamond Platnumz na Meneja wake Sallam wameonekana tena pamoja baada ya muda mrefu kutofanya hivyo, huku yakizuka maneno kuwa wameacha kufanya kazi pamoja.

Msanii Diamond Platnumz na Meneja wake Sallam wameonekana tena pamoja baada ya muda mrefu kutofanya hivyo, huku yakizuka maneno kuwa wameacha kufanya kazi pamoja. Mapema leo hii Septemba 26, 2023 Diamond na Sallam wamefika Hyatt Regency Hotel kuongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa mpya ya Pepsi na kusherehekea miaka mitano ya ubalozi wao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live