Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond na Majizo wakaa siti moja, Harmonize nyuma yao msibani kwa Hayati Magufuli

GGGIII 660x400 Diamond na Majizo wakaa siti moja, Harmonize nyuma yao msibani kwa Hayati Magufuli

Mon, 22 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Ikiwa Machi 20, 2021 aliekuwa Rais wa awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amefanyiwa ibada na kuagwa na watu mbalimbali wakiwemo Viongozi, Wasanii ambapo shughuli hiyo ilifanyika katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam  sasa hapa Ayo TV & Millardayo.com ilifanikiwa kunasa picha ikiwaonesha Majizo, Diamond wakaa siti moja huku Harmonize nyuma yao.

Chanzo: millardayo.com