Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond na Darassa kuachia ngoma Februari 22

Diamond Darassaaa Diamond na Darassa kuachia ngoma Februari 22

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaambiwa ngoma mpya ya rapa maarufu Bongo, Darassa ambayo amemshirikisha supastaa wa Bongo Fleva, namzungumzia CEO wa WCB, Diamond Platnumz, ipo tayari.

Darassa kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka video akiwa na Diamond Platnumz kisha ametoa taarifa kuwa Februari 22, 2024 atatoa rasmi wimbo wake aliomshirikisha Diamond Platnumz.

"WCB BIG BOSS @diamondplatnumz AMETOA GO AHEAD SASA MABIBI NA MABWANA, BOYS AND GIRLS TUKUTANE HAPA 22nd ????" ameandika @darassacmg255.

Mpaka sasa bado hajiawekwa wazi kuwa hiyo itakuwa ni kolabo ya wawili hao ama ni ngoma ya Darassa na msanii mwingine kutoka WCB.

Mpaka sasa Diamond amefabya vack to back ya kolabo na amstaa wengi hivi karibuni kama vile Jux,G Nako, Mr Blue,Jay Melody na Chid Benz.

Unahisi balaa la Wimbo huu unaosubiriwa kwa hamu litazidi balaa la "Muziki"?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live