Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond msanii bora wa mwaka

Diamondplatnumz 1 Diamond msanii bora wa mwaka

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka kwa ujumla (overall artist of the year) katika Tuzo za East Africa Arts Entertainment Awards (EAEA) zilizofanyika usiku wa kuamkia leo nchini Kenya.

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka kwa ujumla (overall artist of the year) katika Tuzo za East Africa Arts Entertainment Awards (EAEA) zilizofanyika usiku wa kuamkia leo nchini Kenya. Diamond ameshinda kipengele hicho akiwa na ngoma zilizo hits kama,"Shu!", "Achii", "My baby" na "Enjoy aliyoshirikishwa na Jux".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live