Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond kutambulisha msanii mpya WCB

Diamond Mtv Diamond kutambulisha msanii mpya WCB

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB Wasafi, Diamond Platnumz ametangaza rasmi kuwa Alhamisi hii November 16, 2023 atamtambulisha Mkali mwingine mpya ambaye amemwaga wino kwenye lebo hiyo.

Staa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB Wasafi, Diamond Platnumz ametangaza rasmi kuwa Alhamisi hii November 16, 2023 atamtambulisha Mkali mwingine mpya ambaye amemwaga wino kwenye lebo hiyo. Diamond amesema anatamani Watu waone kiasi gani Nchi hii imejaliwa vipaji ambapo amepost video inayomuonesha akiwa na Wasanii wengine wa WCB, viongozi wa lebo na Watu wengine kwenye timu yake ambapo kwa pamoja wamemmwagia sifa Msanii huyo mpya kwa jinsi alivyo mkali wa kuandika, kuimba na muonekano bomba wa kisanii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live