Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond kushea jukwaa moja na Rema, Asake

Diamond Kushea Jukwaa Moja Na Rema, Asake Diamond kushea jukwaa moja na Rema, Asake

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tamasha la Afro Nation imetoa majina ya mastaa watakaotumbuiza katika tamasha hilo huko Ureno ambapo Staa wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ndio msanii pekee kutoka Afrika mashariki atakayepanda kwenye Main stage akiwa na Rema, Asake, Omah Lay, Flavour, Sey Vibez Nk.

Tamasha la Afro Nation imetoa majina ya mastaa watakaotumbuiza katika tamasha hilo huko Ureno ambapo Staa wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ndio msanii pekee kutoka Afrika mashariki atakayepanda kwenye Main stage akiwa na Rema, Asake, Omah Lay, Flavour, Sey Vibez Nk. Tamasha hilo linatarajiwa kuanza June 26-28, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live