Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond kumsaidia binti aliyepata ulemavu kwenye ajali

DIAMOND KUMSAIDIA ALIYEPATA AJALI Diamond kumsaidia binti aliyepata ulemavu kwenye ajali

Tue, 4 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkurugenzi wa Wasafi Media, Nasibu Abdul Diamond Platnumz ameguswa na kuamua Kumsaidia binti aliyepata ulemavu baada ya kupata ajali na kuahidi kumpa support kwenye fani yake ya muziki pamoja kwa kumpa Collabo na Star Kutokea WCB Zuchu, pamoja na kumnunulia kiti cha umeme cha kutembelea.

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza Steve Nyerere amedai amezungumza na Diamond Platnumz kuhusu kumsaidia Jack ambaye alipata ajali na kupata ulemavu wa kudumu baada ya kuumia kwenye uti wa mgongo.

Jack ambaye anajipanga kuachia nyimbo zake mpya kwa ajili ya jamii ambapo Diamond anadaiwa kuhaidi kumsaidia msanii huyo katika nyanja mbalimbali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live