Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond kuachia goma Jumamosi hii

DIAMOND ORODHA Diamond kuachia goma Jumamosi hii

Thu, 27 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameweka wazi kuwa, ataachia Ngoma Mpya wikiendi hii.

Akiwa Instagram Live, Diamond amesema kwamba atatoa Ngoma Mpya akiwa Mjini Berlin huko nchini Ujerumani ambapo ataenda kufanya show siku ya Jumamosi Aprili 29, 2023.

Diamond Platnumz anatarajia kutumbuiza katika Tamasha La AfroFest 2023 na wasanii wengine kutoka Nigeria kama Young Jonn. Tamasha Hili limeandaliwa Na Balafon_eu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live