Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond jukwaa moja na Nicki Minaj

Diamond Na Minaj Diamond jukwaa moja na Nicki Minaj

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waandaji waTamasha la @afronation tayari wameachia orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo Nchini Ureno kwenye Phase ya pili huku @diamondplatnumz akiwa ni msanii pekee kutoka Tanzania aliyetajwa huku Rapa kutoka Nchini Marekani @nickiminaj akiwa kati ya wasanii watakaotumbuiza pia.

Waandaji waTamasha la @afronation tayari wameachia orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo Nchini Ureno kwenye Phase ya pili huku @diamondplatnumz akiwa ni msanii pekee kutoka Tanzania aliyetajwa huku Rapa kutoka Nchini Marekani @nickiminaj akiwa kati ya wasanii watakaotumbuiza pia. Wasanii wengine watakao tumbuiza ni pamoja na Rema, Asake, Flavour, Musa Keys, Omah Lay, Focalistic, Major League Djz na wengine kwenye list ya watumbuizaji. Tamasha hilo litaanza kufanyika Tarehe 26#entertainmentchambers.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live