Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond hajiwezi kwa Zuchu, ana miezi sita halali kwake - Juma Lokole

Mama Diamond Akanusha Penzi La Mwanaye Na Zuchu 'sio Wapenzi'.png Diamond hajiwezi kwa Zuchu, ana miezi sita halali kwake - Juma Lokole

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chawa na Mtangazaji wa Wasafi FM, Juma Lokole amesema, ipo siku Diamond atawasapraiz Watanzania kwa ndoa yake na Zuchu.

Lokole amesema, Diamond hajiwezi asilani kwa Zuchu na ndio maana ana rakriban miezi sita anaangusha gari nyumbani kwa Zuchu.

"Diamond atawasapraizi mashabiki siku moja mimi nawaambia, hajiwezi kwa Zuchu Diamond," alisema Lokole.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live