Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond aweka rekodi nyingine

D70119de 70b5 45e7 A9b7 9ab325102706 Diamond aweka rekodi nyingine

Sat, 8 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wimbo mpya Jugni wa Diamond Platnumz na Diljitdosanjh Kutoka India imeivunja rekodi ya Calm Down ya Rema x Selina Gomez ya views nyingi Youtube ndani ya Saa 24.

Jugni imepata views Milioni 4 ndani ya saa 14 tu wakati Calm Down ilipata views Milioni 3.33 ndani ya saa 24.

Awali ya hapo ni Fem ya Davido ndo ilikuwa inashikilia rekodi ya saa 24 ambayo ilipata views milioni 3 ndani ya muda huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live