Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond awaponda wanaoshindwa kushika namba 1 trending

Diamond Jiwe Gizani Diamond awaponda wanaoshindwa kushika namba 1 trending

Sat, 12 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Video ya Enjoy ya Jux na Diamond kuitoa ngoma ya Honey ya Zuchu Trending ambayo ilishika namba moja kwa zaidi ya siku kumi sasa Diamond Platnumz ametupa jiwe gizani akiuliza,

Baada ya Video ya Enjoy ya Jux na Diamond kuitoa ngoma ya Honey ya Zuchu Trending ambayo ilishika namba moja kwa zaidi ya siku kumi sasa Diamond Platnumz ametupa jiwe gizani akiuliza, “Kwani unashindwaga vipi kufika kweye hii no 1?”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live