Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond awafunika, Burna, Wizkid, Davido na Rema

Diamond Ddd Diamond awafunika, Burna, Wizkid, Davido na Rema

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania yazidi kung'ara kwa kutoa wasanii wawili Diamond Platnumz na Rayvanny wanao ongoza kwa kuwa na wafuasi wengi YouTube Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Katika orodha hiyo wasanii wengine ni pamoja na Harmonize anaeshika nafasi ya nne huku mwanadada pekee katika kumi bora ni Zuchu ambae anashika nafasi ya tisa.

1. Diamond Platnumz (Tanzania) - milioni 8.7

2. Rayvanny (Tanzania) - milioni 4.92

3. Burna Boy (Nigeria) - milioni 4.69

4. Harmonize (Tanzania)- milioni 4.43

5. Rema (Nigeria) - milioni 4.03

6. CKay (Nigeria) - milioni 3.95

7. Davido (Nigeria) - milioni 3.9

8. Flavour (Nigeria) - milioni 3.24

9. Zuchu (Tanzania) - milioni 3.19

10. Wizkid (Nigeria) - milioni 3

Source: AfricanFactsZone

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: