Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond atupa jiwe gizani, anamlenga nani?

Diamond Mtv Diamond Platnumz

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa muziki wa Bongo Fleva Diamondplatnumz ameeleza kuwa maisha hayaitaji chuku ili mtu afanikiwe.

Diamond ameeleza hayo kupitia ujumbe alioandika kwenye uwanja wa komenti katika video fupi iliyowaonesha wachekeshaji Tx Dullah na Ndaro wakicheza wimbo wake mpya wa komasava aliouachia wiki mbili zilizopita. Ameandika,

"Natamani sana vijana wengi waelewe ya kuwa kwenye maisha haiitaji kumpandikizia mtu chuki ili wewe ndio ufanikiwe, inatakiwa tu ubunifu, juhudi, nidhamu na kumuomba mwenyezi Mungu naye atakufungulia kila kitu kitawezekana tu."Ameandika Diamond.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live