Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond athibitisha kufanya kolabo na mdogo wa Alikiba

Diamond Na Abdu Kiba Diamond athibitisha kufanya kolabo na mdogo wa Alikiba

Mon, 7 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Wasafi, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amethibitisha kuwa anatarajia kuachia ngoma ambayo ameshirikishwa na mdogo wa hasimu wake kwenye gemu Alikiba, Abdul Kiba.

Diamond ametoa kauli hiyo mapema leo Agosti 7, 2023 alipokuwa akizungumzia tamasha lake la Wasafi Festival ambapo amesema wimbo huo utatoka kabla au wakati Festival inaendelea.

"Tunahitaji kushirikiana na kila mtu kwenye hili, natamani kuona watu mbalimbali wanashiriki Wasafi Festival," alisema Diamond.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live