Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond atangaza ujio wa tamasha la Wasafi Festival mwaka huu

8271 101641406 Hi046913336 1 TZW

Tue, 22 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Diamond Platnumz ni mfanyabiashara ambaye anatumia kila fursa inayopita mbele yake bila ya kuogopa chochote. Msanii huyo ametangaza ujio wa tamasha kubwa jipya la Wasafi Festival ambalo litafanyika mwaka huu.



Mashabiki wengi wa muziki wamekuwa wakitamani kuona tamasha kama hilo kutoka kwa wasanii hao wa WCB, lakini bahati nzuri kupitia mtandao wa Instagram, Diamond amethibitisha ujio wa tamasha.

“Kama Naiona hiyo #WasafiFestival Huu Mwaka Sijui hata tuanzie Mkoa gani???

Chanzo: bongo5.com