Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond atangaza rasmi "Niko single"

Zuchu Diamond Fsrss Diamond atangaza rasmi

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa maarufu kama Diamond Platnumz amewataka mashabiki wake watambue kuwa kwa sasa yupo “single” na hana mahusiano na mwanamke yeyote yule.

CEO huyo wa WCB amesema kuwa iwapo itakapotokea ana mahusiano basi atawajuza mashabiki wake kama ambavyo huwa anafanya.

Baba huyo wa watoto wanne, kwa siku za hivi karibuni amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na msanii wake, Zuchu jambo ambalo hata wao wenyewe wamekuwa wakionekana kujiachia kimahaba katika maeneo mbalimbali.

Hivi karibuni Zuchu na Diamond walionekana nchini Afrika Kusini walikoenda kutembelea watoto wa Diamond ambao amezaa na Zari (Tiffah na Nillan).

Tazama alichokiandiak Diamond;



Nini maoni yako?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live