Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond atangaza kuachia EP yake ya kwanza

Unachezaje Diamond Diamond Platnumz

Sun, 20 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz metangaza rasmi ujio wa EP yake ambayo anatarajia kuiachia Mwachi 4, mwaka huu huku akiwataka mashabiki wake kubashiri jina aliloipa EP hiyo.

Hii itakuwa ni EP ya kwanza ya Diamond tangu aanze kazi ya sanaaa ya muziki. Ikumbukwe kuwa Diamond alishawahi kutoa album inayojulikana kama 'A Boy From Tandale' miaka michache iliyopita lakini mpaka leo inafanya vizuri kwenye platfoems mbalimbali za muziki duniani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram #SIMBA ameandika; YES! March 4th 2022 My first EP in Music Life... Guess the tittle? Tareh 04, 03 2022 EP ya kwanza katika maisha ya Muziki wangu... Unazani Tuuitaje? #EP #Wasafi #DiamondPlatnumz..."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live