Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond atangaza balaa jipya kutoka Marekani

Diamond Ghs Diamond atangaza balaa jipya kutoka Marekani

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfalme wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametangaza kuwa mwezi ujao, ataachia kolabo za hatari alizowashirikisha wasanii kutoka Marekani.

Kupitia Insta Story yake katika Instagram, Diamond ameweka ujumbe huo wa hatari kwa wapenda burudani.

“Agosti nina kolabo 2 nzito za Kimarekani kwa ajili yenu…trust me we good, Mungu ni mwema na Bongo Fleva itamaliza huu mwaka kwa heshima,” aliandika Diamond

Chanzo: www.tanzaniaweb.live