Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond atamba kutembea na Bil. 2

Bil 2 Diamond Diamond atamba kutembea na Bil. 2

Sat, 8 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema unapomuona anapiga misele mitaani akiwa na lile ndinga lake aina ya Rolls Royce basi ujue kwamba anatembea akiwa na Shiling bil. 2.

Diamond amefunguka hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Banda la Video kinachorushwa na Wasafi TV ambapo alielezea hilo wakati alipomtembelea Zuchu alipokuwa lokesheni akishuti video yake inayokwenda kwa jina la Love aliyomshirikisha mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Adekunle Gold.

“Ukiniona natembea hivi niko na hili gari basi ujue nakuwa natembea na shilingi bilioni 2 na miliononi 200. Hii ndio thamani yake,” alisema Diamoind mara baada ya kutinga lokesheni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live