Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Diamond atajifunza kutengeneza nyimbo kali”-Nyashinski

2162 Nyashinski 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Msanii kutokea (+254)Kenya Nyashinski ambaye anafanya vizuri na hitsingles zake mbalimbalii kama “Malaika”, “Mungu Pekee” na kufanya vizuri Afrika Mashariki kwa ujumla ameamua kumuandikia ujumbe wa wazi Diamond Platnumz.



Nyashinski ameandika ujumbe mfupi kupitia twitter account yake na kusema kuwa Diamond Platnumz atajifunza kutengeneza nyimbo kali lakini sio nje ya mipaka ya Afrika anapaswa alitambue hilo.

“Soon Diamond Platnumz will learn to make hits but not from outside Africa. He should know!”>>>Nyashinski

Nyashinski ambaye anaendelea kupata jina nchini baada ya kufanya remix ya “Kababaye” akiwa na Chin Beez  amekosolewa na baadhi ya watu baada ya kuandika ujumbe huo na wengi walikuwa wanamkosoa na kumwambia ni wivu.

Producer Luffa kafunguka “Sifanyi kazi kishikaji nipo chini ya mkataba”

Chanzo: millardayo.com