Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond asogeza mbele tarehe ya kuachia album yake ‘A Boy From Tandale’

Thu, 1 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesogeza mbele tarehe ya kuachia album yake ya kwanza ya ‘A Boy From Tandale’.



Album hiyo ambayo awali ilitangazwa kuachiwa tarehe 23 Februari mwaka huu imesogezwa mbele hadi tarehe 7 Machi 2018.

Uongozi umeeleza kuwa sababu kubwa ya kusogeza tarehe mbele ni kupisha zoezi la utambulisho na kusimamia kazi za msanii mpya wa WCB, Mbosso ambaye ametambulishwa wikiendi iliyopita.

Tazama Mbosso alivyotambulishwa na Diamond Platnumz ‘WCB’.



 

Chanzo: bongo5.com