Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond ashika nafasi ya 16 streams za wasanii Afrika

Wizkid Burna Boy And Diamond Platnumz Hawa ndiyo wasanii wanaoongoza kwa streams nyingi zaidi Afrika

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hawa ndio wasanii wa Afrika wanapongoza kwa streams kwenye majukwaa ya muziki ya kidijitali.

Global Digital Artist Ranking wametoa takwimu kulingana na jumla au utendakazi wa wakati wote wa wimbo/wimbo kwenye tovuti kuu za muziki, ikiwa ni pamoja na iTunes, Apple Music, YouTube na Spotify.

Orodha hii inaendelea kuwa updated kila baada ya muda, kwa hiyo kuna uwezekano kwamba baada ya saa kadhaa baadhi ya wasanii wanaweza kupanda na wengine kushuka.

Lakini hawa ndio Wasanii pekee wa Kiafrika walioshiriki katika Orodha ya Wasanii wa Muziki wa Dijiti Ulimwenguni ambapo kwenye orodha hiyo, Diamond Platnumz anashika nafasi ya 16.

Wasanii wanaoongoza kwa streams Afrika. Burna Boy - 1 heisrema - 2 Asake - 3 Mohbad - 4 Ayrastarr - 5 Tayla - 6 Davido - 7 Soolking - 8 Dj Maphorisa - 9 Omah Lay - 10 Nasty C SA - 11 Diamond Platinumz -12 Ruger - 13 Libianca - 14 Fally Ipupa - 15 Ahmed Saad - 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live