Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond ashika nafasi ya 11, wasanii wanaolipwa zaidi kwa shoo Afrika

Diamond Ashika Nafasi Ya 11, Wasanii Wanaolipwa Zaidi Kwa Shoo Afrika Diamond ashika nafasi ya 11, wasanii wanaolipwa zaidi kwa shoo Afrika

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa Mujibu wa Page ya Africa Fact Zone hawa ndio wasanii wa Afrika wanaolipwa Pesa nyingi zaidi kwa Show ambapo Wizkid Burna Boy na Rema wanaongoza kila mmoja analipwa zaidi ya Tsh.Bilioni 2.

1. Wizkid, Burna Boy, Rema - $1 million Zaidi ya Tsh.Bilioni 2 (kila mmoja)

4. Davido - $600,000- Tsh.Bilioni 1.5

5. Asake, Olamide - $500,000 - Tsh.Bilioni 1.3 (Kila mmoja)

7. Black Coffee - $300,000 - Tsh.Milioni 752.2

8. Kizz Daniel - $200,000 - Tsh.Milioni 501.4

9. Amr Diab - $170,000 - Tsh.Milioni 426.2

10. Shatta Wale - $120,000 - Tsh.300+

11. Diamond Platinumz, Tiwa Savage - $100,000 -Tsh.Milioni 205.7 (Kila mmoja)

13. Yemi Alade - $75,000- Tsh.Milioni 188

14. Flavour - $70,000- Tsh.Milioni 175+

Chanzo: www.tanzaniaweb.live