Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond ashangaa kupungua uzito ghafla

Diamond Chibu Dee Diamond ashangaa kupungua uzito ghafla

Thu, 9 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Diamond Platnumz ameshangaa kupungua uzito ghafla hadi kufikia Kg 73.9!.

Hatua hiyo inakuja miezi miwili baada ya msanii huyo kulazwa hospitali hapo Desemba 25, 2022.

Hivi karibuni baadhi ya mashabiki mtandaoni kudai msanii huyo kapungua mwili. Doh! 73.9kg,” aliandika chini ya video inayomuonyesha akiwa amesimama juu ya kifaa cha kupima uzito wa mwili na kuambatanisha ujumbe huo wake na emoji zinazoashiria mshangao mkubwa.

Hata hivyo, hii sio mara ya kwanza kwa Diamond kupungua uzito, iliwahi kutokea hadi Meneja wake na WCB Wasafi kwa ujumla, Babu Tale akazungumzia hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live