Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond apanda jukwaani na majeneza - VIDEO

Diamond Apanda Jukwaani Na Majeneza   VIDEO Diamond apanda jukwaani na majeneza

Mon, 11 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati nyota wa muziki Bongo Fleva, Diamond Platnumz kutumbuiza Ruangwa, akaamua kuja na ubunifu wa aina yake, Simba apanda jukwaani na majeneza.

Mpango mzima ulikuwa ni kwenye Wasafi Festival jukwaa ambalo lilipambwa na wasanii mbalimbali akiwemo mpenzi wake Zuchu na Mbosso.

Unaupa asilimia ngapi huo ubunifu wa Diamond?

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live