Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond aonesha nia ya kutaka kumsaini Chino Kids

Chino Kiddd Diamond aonesha nia ya kutaka kumsaini Chino WCB

Sun, 7 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii maarufu Tanzania Diamondi, ameonyesha nia ya kutaka kumsainisha msanii Chino ndani ya lebo yake ya WCB hii ni baada ya Chino kuonyesha uwezo mkubwa katika mziki wa kizazi kipya

Msanii maarufu Tanzania Diamondi, ameonyesha nia ya kutaka kumsainisha msanii Chino ndani ya lebo yake ya WCB hii ni baada ya Chino kuonyesha uwezo mkubwa katika mziki wa kizazi kipya Chino ni msanii ambaye ameanza kujipatia umaarufu kwa muda mfupi kupitia msanii Marioo, ukaribu wa msanii huyo na msanii Diamondi kinaweza kikawa chanzo cha msanii huyo kujiunga WCB mwishoni mwaka huu. Poul sports.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live