Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond ana Tsh 120,000 tu kwenye akaunti yake ya benki

Diamond Pl Diamond ana Tsh 120,000 tu kwenye akaunti yake ya benki

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Nguli barani Afrika, Diamond Platnumz amefunguka kuwa kwenye Account yake ya Benki kuna kiasi cha shilingi laki moja na elfu ishirini tu za kitanzania.

Diamond Platnumz ameeleza hayo wakati akijibu swali lilioulizwa na Manara TV kuwa "Account yako ya benki ina shilingi Ngapi?"

Vipi kwa upande wako, unaamini kwamba Diamond Platnumz kweli ana laki moja na elfu ishirini tu benki?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live