Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond amzawadia Tiffah simu ya Sh2.4 milioni

DIAMOND TIFAH NJ Diamond amzawadia Tiffah simu ya Sh2.4 milioni

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva toka WCB Wasafi, Diamond Platnumz amemzawadia binti wake wa miaka saba, Princess Tiffah simu mpya aina ya iPhone 14 Pro Max.

Ikumbukwe iPhone 14 Pro Max inauzwa kuanzia Dola1029, wastani wa Sh2.4 milioni.

Zawadi hiyo ilipokelewa kwa shangwe na shukrani na Tiffah, ambaye aliweka video TikTok akifungua zawadi hiyo.

Katika video hiyo, Tiffah anasikika akimshukuru baba yake kwa zawadi hiyo huku mama yake mzazi, Zari The Bosslady akirekodi tukio hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: