Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond amtetea Alikiba

Oscar Pic Diamond Kiba Diamond amtetea Alikiba

Fri, 12 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kwenye interview na waandishi wa habari mapema leo aliulizwa analionaje suala la Alikiba kufungua Media kama yeye. Diamond.

"Siwezi kusema Alikiba alifungua media kwa sababu mimi nilifungua, hii ni hatua kubwa sana kwetu wasanii, nafikiri hilo ni jambo zuri kwake.

"Tena nimeona kuna wale wanaosema hile Media sio ya Alikiba mwenyewe, sioni tatizo na ndio maana zikaitwa Media Company," Diamond amesema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live