Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond ampigia saluti Rayvanny

Diamond Na Rayvanny Diamond ampigia saluti Rayvanny

Mon, 23 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki Rayvanny tayari ameshaachia video ya wimbo wa Nitongoze aliomshirikisha Diamond Platnumz.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa, Diamond ameweka wazi kuwa Rayvanny amewekeza pesa za kutosha katika video hiyo.

"Nitongoze video by Rayavanny Fet Diamond out now link in @rayvanny...ele umewekeza kwenye video Chui, i'm super proud to be part of this project," aliandika Diamond kwenye Insta Story.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live