Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond amnunulia Baba Levo ndinga mpya ya Mil. 42

Diamond Amnunulia Baba Levo Ndinga Mpya Ya Mil. 42 Diamond amnunulia Baba Levo ndinga mpya ya Mil. 42

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: 74508734

Uchawa unalipa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya chawa Baba Levo kununuliwa ndoinga mpya aina ya Harrier Lexus yenye thamani ya shilingi Mil. 42.

Baba Levo ameonesha gari hiyo na kusema gari hiyo mpaka kufika hivi sasa imetumia kiasi cha Milioni 42 na katika pesa hiyo Diamond Platnumz anahusika kwa kiwango kikubwa.

"Mimi nimeongezea kiasi kidogo sana, Diamond kamununulia mjukuu wake (mtoto wa Baba Levo) sasa niambie ni chawa gani ana gari kama hii?" alihoji Baba Levo.

Ikumbukwe hiyo ni Gari ya 5 Baba Levo anatamiza mpaka hivi sasa

Chanzo: 74508734