Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond amkalisha Burna Boy Tuzo za MTV

Diamond Mtv Diamond Platnumz

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa Afrika katika tuzo za MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 )

Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa Afrika katika tuzo za MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 ) Hii inakuwa tuzo ya 3 MTV EMA ya Diamond Platinumz akiwabwaga Asake na BurnaBoy kutoka Nigeria, Libianca kutoka Cameroon na TylerICU kutoka Afrika Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live