Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond amfagilia Vanessa Mdee, “Unapambana sana Vee”

7089 DIM TZW

Thu, 26 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii Diamond Platnumz amemfagilia mrembo Vanessa Mdee kutokana na jitihada zake anazofanya kila kukicha za kuupambania muziki wake uzidi kufika mbali zaidi.



Mkali huyo wa WCB kupitia mtandao wake wa Instagram ameandika ujumbe huo wa kumsifia Vee Money huku akimtakia baraka tele kwenye safari yake hiyo.

“Unapambana Sana Vee.. Mwenyez Mungu azidi kukufungulia Kwenye kila la Kheri Uliombalo @vanessamdee

Chanzo: bongo5.com