Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond alivyoporwa kofia na Wagogo wa Dodoma

Diamond 9768940 Diamond alivyoporwa kofia na Wagogo wa Dodoma

Sun, 3 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa WCB, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz akiwa mkoani Dodoma kwenye shamra shamra za Wasafi Festival alitembelea moja ya duka la Simu mkoani hapo, sasa wakati akiondoka aliibiwa kofia yake hadhara ambapo kitendo hicho kilionekana kimemkwaza.

Diamond baadae alighairi kuondoka mpaka apate kofia hiyo, alitoa sharti la kutafutwa kwa kofia hiyo na mmoja wa walinzi wake mpaka baadae ilipopatikana.

Kofia hiyo imeonekana kuwa na thamani ya dola 38 sawa na shilingi 5,800 za Kenya na 96,000 za Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live