Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond akoshwa na wimbo wa Ali Kiba

DIAMOND NA ALIKIBA Diamond akoshwa na wimbo wa Ali Kiba

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Diamond Platnumz ameweka wazi mapenzi aliyonayo juu ya ngoma ya msanii Ali Kiba ambaye mara nyingi anatajwa kama mshindani wake kwenye muziki.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond Platnumz amepost kipande cha wimbo wa Kiba unaoitwa Asali na kuandika; "Favorite".

Mara kadhaa Diamond amekuwa akionesha kutokuwa na kinyongo na kushow love hadharani kumkubali Kiba, lakini mwamba huyo amekuwa mzito kumkubali mwenzake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live