Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond akizungumza mbele ya Cassper Nyovest Kidimbwi Beach, asema tutegemee collabo

DIAMOND PLAT Diamond akizungumza mbele ya Cassper Nyovest Kidimbwi Beach, asema tutegemee collabo

Sun, 10 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za Mkali kutokea Afrika Kusini, Cassper Nyovest ambae bado anaendelea na utoaji wa burudani nchini Tanzania na usiku wa kuamkia leo aliwaimbia live watanzania waliofika pembeni mwa fukwe za bahar? huko Kidimbwi Dar es Salaam, Sasa miongoni mwa suprise ni hii ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani na kusema tutegemee collabo kati Yao.

Chanzo: millardayo.com