Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond akanusha kuwa single 'niko hubani'

Hatimaye Zuchu Amkana Diamond 'Sio Bwana'ngu Yupo Huru .' Diamond akanusha kuwa single 'niko hubani'

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuzagaa kwa taarifa kuwa Diamond ametangaza kuwa single, ghafla mwamba ameibuka na kukanusha.

Kupitia Insta Story yake, Diamond ameweka ujumbe huo;

"Niwajulishe tu kwamba suala la usingle limeshindikana hivyo naendelea kula raha hubani kwenye kisiwa na kitongoji kilekile cha karafuu...na wote mliokuwa mnashadadia poleni sana, siku nyingine acheni papara, mjifunze kusikiliza ata kidogo watu hawaachani...," aliandika Diamond.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live