Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond afunguka madai ya kumtenga Dylan wa Mobetto

Diamond Afunguka Madai Ya Kumtenga Dylan Wa Mobetto Diamond afunguka madai ya kumtenga Dylan wa Mobetto

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz wakati yupo nchini Kenya akihojiwa na Waandishi wa Habari aliweka sababu za kutosafiri na mtoto wake Dylan aliyezaa na Mrembo Hamisa Mobetto kwenda nae Nchini Rwanda kwenye Tuzo za Trace kama alivyosafiri na watoto wake wengine.

Baada ya swali Staa huyo alijibu...

"Sio kila sehemu ni vyema kwenda na watoto ndio maana hapa nimekuja peke yangu muda mwingine unatakiwa uwaache watoto wakisoma Rwanda nilienda nao lakini sio kila sehemu, wale watoto ni wadogo wapo shule nikienda nao kila sehemu nitawaharibu bado ni wadogo," alisema Diamond.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live