Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond adunfuka mazito Tuzo za TMA

Diamond Gh(2) Diamond adunfuka mazito Tuzo za TMA

Sat, 16 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka London, nchini Uingereza, mwanamuziki Diamond Platnumz akifanya mahojiano na kituo cha habari cha BBC Swahili amefunguka kuhusu msimamo wake wa kukataa kushiriki Tuzo za Muziki Tanzania (Tanzania Musuc Awards 2022 - TMA) kuwa ni kutokana na kutokua na imani na waandaji wa tuzo hizo.

Kutoka London, nchini Uingereza, mwanamuziki Diamond Platnumz akifanya mahojiano na kituo cha habari cha BBC Swahili amefunguka kuhusu msimamo wake wa kukataa kushiriki Tuzo za Muziki Tanzania (Tanzania Musuc Awards 2022 - TMA) kuwa ni kutokana na kutokua na imani na waandaji wa tuzo hizo. Akijibu swali la mtangazaji #SalimKikeke' Diamond ameweka wazi kuwa hata tuzo za awali za KTMA zilishindwa kuendela tena kwaSababu yake, baada ya yeye kushindwa kupewa tuzo ambayo alistahili, jambo ambalo lililowawanya waandaji wa tuzo hizo kujitoa na kushindwa kufanyika kwa zaidi ya miaka 6.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live