Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond achuana na Burna Boy, Asake tuzo za MTV Europe

Diamond Achuana Na Burna Boy, Asake Tuzo Za MTV Europe.jpeg Diamond achuana na Burna Boy, Asake tuzo za MTV Europe

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards katika kipengele cha msanii bora Africa.

Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa #Mtv wametoa taarifa hiyo kwa kuandika “pongezi nyingi kwa Diamond kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya Best African Act.”

Huku katika kinyang’anyiro hicho wasanii wengine wanaowania katika nafasi hiyo ni #BurnaBoy, #Asake, #Libianca na #TylerICU.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live