Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond aahidi kuleta tuzo za Grammy Tanzania

Diamond Aahidi Kuleta Tuzo Za Grammy Tanzania Diamond aahidi kuleta tuzo za Grammy Tanzania

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mtandao wa @notjustok kutoa list ya nchi zinazo ongoza kuchukua Tuzo ya Grammy barani Africa huku South Africa wakiwa kileleni wakifatiwa na Benin Republic, Mali na Nigeria.

Diamond kupitia Insta story yake ameamua kuwaahidi mashabiki wa Mziki kutokea Tanzania Kuwa hivi karibuni na sisi Tanzania tutakuwa kwenye list hiyo.

Ikumbukwe Kuna kipengele ambacho kimeongezwa kwenye Tuzo za Grammy ambacho kipengele hicho kinausisha Mziki wa Bongo Fleva.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live