Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond, Zuchu na Zari wakutana Sauz

Diamond, Zuchu Na Zari Wakutana Sauz Diamond, Zuchu na Zari wakutana Sauz

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasanii wa muziki nchini Diamond Platnumz, Zuchu wakigonga cheers na Zari akiwa na mume wake.

Wasanii wa muziki nchini Diamond Platnumz, Zuchu wakigonga cheers na Zari akiwa na mume wake. Wanne hao wamekutana nchini Afrika Kusini ambapo kwa siku ya jana Diamond alimfanyia Zuchu surprise kama zawadi ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa (birthday) nchini humo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live