Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond, Zuchu, Marioo, Rayvanny, Frida Amani watajwa tuzo za AFRIMA

Diamond Rayvanny Nm Diamond, Zuchu, Marioo, Rayvanny, Frida Amani watajwa tuzo za AFRIMA

Thu, 15 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waandaji wa Tuzo za All Africa Music Award (AFRIMA) wametoa orodha ya nyota wa muziki wa Kiafrika watakaowania tuzo hizo mwaka huu.

Kwa Tanzania mwaka huu tumetisha kwa kuingiza wanamuziki wengi kwenye vipengele tofauti tofauti.

Wanaotuwakilisha kwenye tuzo hizo ni pamoja na @diamondplatnumz @officialalikiba @officialnandy @naytrueboytz @marioo_tz @officialzuchu @rosa_ree @rayvanny @mbosso_ @navykenzoofficial na @fridaamaniofficial

Zoezi la upigaji kura linatarajiwa kuanza Septemba 25, 2022 na hafla ya ugawaji wa Tuzo itafanyika Desemba 8 - 11.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live