Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond, Youn Lunya kuja na dude

Young Lunya Ad Diamond, Youn Lunya kuja na dude

Sat, 6 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii DiamondPlatnumz na Mkali wa Hip Hop YoungLunya wamekuwa wakiweka wazi kuwa wana Collabo lakini hawajawahi kuitoa.

Inawezekana Diamond leo akaenda studio kwa S2kizzy kukamilisha verse yake kwenye wimbo wa Lunya ambao inasemekana jina lake ni 'Haujui'.

Kupitia InstaStory yake Diamond ameweka video ya Lunya akiwa studio na S2kizzy akirekodi na Lunya aliandika swali kwa Diamond "Verse yako iko wapi?" na Diamond akamjibu atakamilisha usiku wa leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live